mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amen[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
AMUN RAWaendesha bodaboda. Twawaombea kwa Mungu mwenyezi, mwenye huruma awape nguvu, maarifa, uaminifu na kuminika mbele ya jamii. Muepuke ajali zisizokwisha, muepuke kamata kamata ya uonevu, kimbizwa kimbizwa ya kuombwa ombwa hongo. Nyinyi ni muhimu katika changamoto ya kuwakwepa vibaka ingawa miongoni mwenu huko nyuma mlikuwa vibaka. Pambaneni na hali zenu ili muwe na ushirikiano mwema na vile vyombo vinavyowasakama
TeheteheteheMkuu, inabidi tu nijiuzulu ukatibu wa CHAWAMITA kwa kweli. Unaonaje nikikukabidhi mikoba. Si kwa vitu hivi vikali unavyoshusha !!!
Hata Mimi sijui kwa kweliKuna ukweli katika hili?
Pamoja sana MkuuNilibeba vilivyo jukumu la kulinda uzi huu usiku huu nikiwa na wenzangu, jakitoo, myoyambendi, HARUFU, BAK,kengo na badaye SHIMBA YA BUYENZE.
Mzee wa TukuyuMie nilikwambia ni mweka hazina, hivyo endelea tu Mkuu na ukatibu wa CHAWAMITA, hivi Mwenyekiti wetu ni nani vile? 🙂🙂🙂
Pamoja mkuu gr8 sanaAlfajiri hii nabeba jukumu lingine mpaka baada ya masaa 4 ama 5. Asanteni
Pazuri sana hapo kwa kuishi
Du hatari kweli
Wabunge hao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu wa kushoto huyu hajui kupigana. Ngumi za ukweli hazikunjwi hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
17:3606:17