Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sikubaliani nayo. Naona imeandaliwa na Wahindi na caste system zao. Mungu hajaondoka na hatatondoka. Ametuahidi kuwa hatatuacha !!!
Sikubaliani nayo. Naona imeandaliwa na Wahindi na caste system zao. Mungu hajaondoka na hatatondoka. Ametuahidi kuwa hatatuacha !!!
Waendesha bodaboda. Twawaombea kwa Mungu mwenyezi, mwenye huruma awape nguvu, maarifa, uaminifu na kuminika mbele ya jamii. Muepuke ajali zisizokwisha, muepuke kamata kamata ya uonevu, kimbizwa kimbizwa ya kuombwa ombwa hongo. Nyinyi ni muhimu katika changamoto ya kuwakwepa vibaka ingawa miongoni mwenu huko nyuma mlikuwa vibaka. Pambaneni na hali zenu ili muwe na ushirikiano mwema na vile vyombo vinavyowasakama
Mwenyekiti ni AndjulMie nilikwambia ni mweka hazina, hivyo endelea tu Mkuu na ukatibu wa CHAWAMITA, hivi Mwenyekiti wetu ni nani vile? 🙂🙂🙂
Shwari...
Hawa ndiyo nguzo ya kila kitu. Elimu Elimu Elimu !!!Walimu. Nyinyi ni watu MUHIMU kwa maendeleo ya Watanzania, Mwenyezi Mungu mtukufu azidi kuwapa moyo wa subira kwenye majukumu yenu, maana maisha yenu hayafanani na taaluma yenu, lakini tangu zamani mmetanguliza Uzalendo, hekima, busara kwa watoto wa Taifa hili. Mungu awabariki.