Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Majadiliano yanaendeleaZa makinikia
YegoNipogo, hujambo?
Mkuu niaje Leo mapema
Salamu mkuu niaje lakiniSalaam wanauzi
Jambo kabisaJambo memba wote hapa
Salama kabisaSalaam kwenu marafiki
Salama kabisa mkuuSalaam majirani
Kuna watu Hawa like post hii ni juu yao Mimi nagonga likes kwa kila post hila kuna mtu anaruka post zangu alikesRafiki wapenzi toeni ushirikiano kama ulivyo mwongozo wa Uzi wetu