B 7 acha utani mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahaa mizuka ya CONTE ni mara kumi na mbili ya Simeon. ..
18:2413:30
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulia my princess upone kwanzaNaona niko vzr kwa 85%, ukiona hadi namtafuta Carba mbaya wangu basi ujue kbs niko fit kwa mapambano hahhahaa
Miss u 2Kwakweli niliwamisi jamani.
HahahahahaHeshima kwenu wazee wa misambwanda. Kuanzia mwenyekiti,katibu,mtunza hazina na wanachama wote kwa ujumla.
Baba mkwe wa kichwa kichafuBob jamani hv upo? Baba Viv.
HahahahahaCarba pamoja na kuninanga sana huku ila nimegundua ww una huruma sana.
Aweke waziHabari njema sana hizi. Huyo mbaya wako mna bifu gani? Mnamgombea Andjul ama ?
18:2814:43
Nawe toa likesNipeni likes basi
18:3016:56