Kwani ujio wake ni wa kurudiana au ni ule wa "mtalaka hatongozwi?" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tunakulagaaaa...Usijali mumeo nilikusaidia kumtunza maana hadi kakitambi kameanza kutokeza[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha wa yuu sista??
Ila si unaelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwandiko wako unajikontradikti sana...