carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hizi salamu zinavyotumwa nyingi,zingekuwa chakula leo ningevimbiwa[emoji23][emoji23]Hahahha Nifikishie salam kwa Carba, mwambie nimerudi
Hizi salamu zinavyotumwa nyingi,zingekuwa chakula leo ningevimbiwa[emoji23][emoji23]Hahahha Nifikishie salam kwa Carba, mwambie nimerudi
Hebu nikumbushe... Sina kumbukumbu hata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili bifu bhana analijua mhusika tu.
Hizi salamu zinavyotumwa nyingi,zingekuwa chakula leo ningevimbiwa[emoji23][emoji23]Hahahha Nifikishie salam kwa Carba, mwambie nimerudi
Hizi salamu zinavyotumwa nyingi,zingekuwa chakula leo ningevimbiwa[emoji23][emoji23]Hahahha Nifikishie salam kwa Carba, mwambie nimerudi
[emoji23][emoji23][emoji23]kama uko fit njoo basiNaona niko vzr kwa 85%, ukiona hadi namtafuta Carba mbaya wangu basi ujue kbs niko fit kwa mapambano hahhahaa
Nimemteka nyumbani kwangu,vipi wamtaka[emoji6][emoji6][emoji6]Andjul hv hujaibwa kweli?
We nsamaka wewe,nikuonee huruma wewe hasimu wangu kweli[emoji23][emoji23][emoji23]Carba pamoja na kuninanga sana huku ila nimegundua ww una huruma sana.
Hata mimi nashangaa kwakweliHabari njema sana hizi. Huyo mbaya wako mna bifu gani? Mnamgombea Andjul ama ?
Usijali mumeo nilikusaidia kumtunza maana hadi kakitambi kameanza kutokeza[emoji23][emoji23][emoji23]Hili bifu bhana analijua mhusika tu.