Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Moudgulf bila shaka atakuwa anajua. Ni huko pwani pwani huko. Ni mbunge wa CUFMbunge wa jimbo gani huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama kabisa,sijui huko ulikoNipo shemeji. Nagawa likes kimya kimya. Siku yako ilikuwaje?
Si wanaitanaga "buroo",leo ni fitna tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikiwafitinisha tu,wee mchambe wa kwako hadi asuse na leo ipielo haipo,jakitoo si wa kumtegemea sana,amependa ameoza fuuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha niandae beseni kabisa la kukinga damu
[emoji818][emoji818][emoji818]Vidumu milele
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] nahisi atasema "haachwi mtu na hakuna kuachana"Jamaniiii[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimechoka mimi..Unataka niseme ili uje kunigeuka eeh?mjanja wewe
Sijui ilikuwa "nasepa mazima"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizi fitna za leo hizi acha tuite gari ya wagonjwa kabisa[emoji603] [emoji603]Si wanaitanaga "buroo",leo ni fitna tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikiwafitinisha tu,wee mchambe wa kwako hadi asuse na leo ipielo haipo,jakitoo si wa kumtegemea sana,amependa ameoza fuuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unaongea kama jimama la Kizaramo limejitandaza linakuna nazi. Mipasho si mipasho, umbea si umbea ali mradi vurugu tupu. Shemeji, mpango gani unasukwa hapa? Nilinde please !!!Si wanaitanaga "buroo",leo ni fitna tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikiwafitinisha tu,wee mchambe wa kwako hadi asuse na leo ipielo haipo,jakitoo si wa kumtegemea sana,amependa ameoza fuuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui nikusaidie kuachika maana mwanamke anagubu yule[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] nahisi atasema "haachwi mtu na hakuna kuachana"Jamaniiii[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] nimechoka mimi..
Naogopa[emoji85] [emoji85] [emoji85] watasema nakuton...vipi wakati wewe ni shemeji!!? Naumia sana kwasababu napishana na bahati ya hela barTangu lini umeanza kuona aibu?
Malizia tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] Nayo yatapita tuPole sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unaongea kama jimama la Kizaramo limejitandaza linakuna nazi. Mipasho si mipasho, umbea si umbea ali mradi vurugu tupu. Shemeji, mpango gani unasukwa hapa? Nilinde please !!!