Hahaha aisee pole, kumbe kulikuwa na mpambano wa hatari.Yale mazizi yamezindikwa, ni hatari hata kuyasogelea. Kuna mtu humu ananiita Pastor fake, acha tu niwaombee hawa watu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha aisee pole, kumbe kulikuwa na mpambano wa hatari.
HahahaHatari kubwa. Hakuna aliye tayari kupoteza zizi lake, aidha zizi lake au afe mmendeaji! [emoji23][emoji23]
Hujaona kama nsamaka katishia kunipasua?Na Nani Tena kipenzi