Maisha ni safari ndefu iliyojaa Vikwazo, matatizo, misukosuko, furaha, utulivu, huzuni yote ni sehemu ya maisha. Ni vyema kuwa mstahimilivu, mkweli, mwenye busara katika maisha.. Epuka udanganyifu, chuki, usaliti kwa yule anaekuthamini.. Vumilia, samehe, kuwa jasiri kwa anaekukosea, kuwa na msimamo.. hakika baada ya dhiki huja furaha.. ongeza bidii katika kumcha MUNGU maana bila MUNGU hutaweza chochote,Jiamini, jiheshimu, ongeza bidii katika mambo yako.