Kwani unataka umlime talaka Cole halafu uhamie kwa Mzee wa Tukuyu? Au nachanganya mambo shemeji?Hayo maamuzi jana nilisha yafikia,sema mzee wa tukuyu anataka vikao vya familia na mimi viako sitaki[emoji23][emoji23][emoji23]
Fake media. Fake News. Fake journalists...in Trump's voice. Vyombo vya habari na waandishi wa habari wanapita katika msukosuko duniani kote!!!