Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6eaafb7145316ce4676b5f5e5cad13f3.jpg
 
Mwisho, somo letu la leo lilitualika kuweza kujiuliza maswali muhimu katika maisha yetu ili tuweze kupata matokeo tofauti. Ili tubadilishe maisha yetu ni lazima kwanza tubadilishe namna ya kufikiri kwanza na njia nzuri ya kufikiri ni pamoja na kujiuliza maswali muhimu na makini kwenye maisha yako. Nakutakia utekelezaji mwema katika haya uliyoweza kujifunza leo.
 
Kipanda uso ni ugonjwa gani?

Kipanda uso ni maumivu ya kichwa ambapo kichwa kinagonga kweli kweli na mara nyingine inaweza kuwa sehemu ya mbele au upande mmoja wa kichwa ndiyo unapatwa na maumivu haya.

Maumivu haya yanaweza kubaki kwa saa 4 mpaka saa 72. Vile vile dalili za ugonjwa huu zinatofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine.
 
Dalili za Kipanda Uso:

Unaweza kupata baadhi ya ishara za ugonjwa huu kama vile;
1. Kujisikia uvivu,
2. Kutapika,
3. Mauzauza,
4. Kusikia kelele sikioni nk.
Wakati mwingine kabla ya kipanda uso watu wengine wanaweza kupatwa na miwasho, shingo nzito, kupiga miayo, kusikia njaa nk
 
Sababu za kutokea kipanda uso mara nyingi ni pamoja na:
1. Mfadhaiko wa akili (stress)
2. Kelele nyingi kuzidi
3. Kuluka kula mlo
4. Pombe
5. Sigara
6. Shinikizo la chini la damu
7. Kutokunywa maji mengi kila siku
8. Kukosa usingizi
9. Aleji
10. Harufu kali
11. Mkao mbovu
12. Kubadilikabadilika kwa homoni.
 
Wapo watu haiwezi kupita wiki bila kunywa aina fulani ya dawa kutuliza maumivu ya kichwa au kipanda uso. Hata hivyo matumizi hayo ya mara kwa mara ya hizo dawa mwishowe huleta madhara makubwa katika afya.

Kwahiyo, kwanini sasa usijisomee hapa na ujipatie ufahamu juu ya dawa za asili za kuondoa maumivu ya kipanda uso zisizo na madhara yoyote baadaye?
 
Kwema shemeji,habari ya leo
Nataka kuanzisha ugomvi na Cole[emoji23][emoji23][emoji23]sijui kuna mechi weekend hii
Mimi na mpira hatupatani. Hata sijui kama kuna ipieloo au ligi zingine. Wajuzi watatoa jibu...

Jana ulipotishia kumtandika talaka alisema kuwa amejipa adhabu mwenyewe ya kuacha kuangalia ipielo kwa ajili yako. Msamehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kipanda uso na tiba yake:

Hizi ni dawa mbadala au dawa asili 8 unazoweza kuzitumia unapopatwa na kipanda uso ili kuondoa maumivu hayo na hatimaye kupona kabisa:

Dawa za asili 8 zinazotibu kipanda uso kwa haraka

1. Siki ya tufaa na asali
“Siki ya tufaa ni moja ya dawa za asili zenye viinilishe vingi mhimu kwa afya..”
 
Pamoja na mengine mengi unaweza kutumia siki ya tufaa kujitibu na matatizo kama kisukari, kutibu kipanda uso, kupunguza maumivu ya mifupa na kuondoa tatizo la kufunga choo. Kwahiyo kwanini usiijaribu siki ya tufaa kutibu kipanda uso chako?
Tumia kwa kufuata maelezo yafuatayo:

a) Weka kijiko kimoja cha siki ya tufaa ndani ya kikombe kimoja cha maji (robo lita)
b) Ongeza asali kijiko kimoja
c) Changanya vizuri
d) Kunywa mara moja mchanganyiko huu kwa siku mara 1 ili kutibu kipanda uso.
Unatakiwa uendelee kutumia dawa hii kwa majuma kadhaa mpaka umepona.

Muda wowote ukipata maumivu ya kipanda uso tena unaweza kuchukua vijiko viwili vya siki ya tufaa na unywe kupunguza hayo maumivu.
 
Kipande cha barafu

Pengine kutumia kipande cha barafu ndiyo dawa rahisi zaidi ya asili ya kutibu kipanda uso. Itakusaidia kupunguza maumivu yatokanayo na kipanda uso. Unapotaka kutumia kipande cha barafu kutibu kipanda uso fuata njia hizi:

a) Tumia kitambaa safi na ufunge kipande cha barafu katika hiki kitambaa
b) Weka barafu ndani ya kitambaa ukipitisha pole pole kwenye paji la uso na shingoni kwa dakika 15 hivi
c) Fanya zoezi hili kila unapotokewa na maumivu ya kipanda uso
 
Back
Top Bottom