myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kila mtu ana uzuri wake
Kuna watu Hawa like post hii ni juu yao Mimi nagonga likes kwa kila post hila kuna mtu anaruka post zangu alikes
FANYIENI KAZI POST HIIKuna watu Hawa like post hii ni juu yao Mimi nagonga likes kwa kila post hila kuna mtu anaruka post zangu alikes
Mkuu imesemwa "akupigaye shavu kuume mgeuzie la kushoto" usilipe ubaya kwa mtu mbaya. "Mtu aliye mwema huiga yaliyo mema" NIMESEMA....Tangu Jana nimeruka post zake sijalikes
Shukran sana shimbaAsante daktari. Leo umeleta mambo ya muhimu sana. Umenikumbusha mambo mengi. Nimeamka !!!
Mkuu konge Leo mapema
Tuko pamoja bageshi ntogwa nkoyi wane [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Shukran sana shimba
"......Imesemwa..."Mkuu imesemwa "akupigaye shavu kuume mgeuzie la kushoto" usilipe ubaya kwa mtu mbaya. "Mtu aliye mwema huiga yaliyo mema" NIMESEMA....
Siyo lazima kulipa. Kudaiwa nako ni burudani tosha. Ubongo unakuwa active 24/7 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwenye deni alipe
Hili lishakuwa tatizo. Tuendelee tu kukumbushana.Kuna watu Hawa like post hii ni juu yao Mimi nagonga likes kwa kila post hila kuna mtu anaruka post zangu alikes