carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Aah!mimi?nasingiziwaHakuna uchochezi, ila imebainika hata wewe ni mvamizi wa mazizi
Aah!mimi?nasingiziwaHakuna uchochezi, ila imebainika hata wewe ni mvamizi wa mazizi
[emoji109][emoji109][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nipe tano[emoji109] [emoji109] [emoji109]
Mambo mengine unayaacha kama yalivyo[emoji23][emoji23]Ikibainika maiti amelishwa sumu, kaburi lake lazima lifukuliwe ili ucbunguzi uendelee
For real my love Kuna kitu utakuwa umekingoa na kuondoka nachoMayoooo[emoji134][emoji134][emoji134]
Hata mimi naelekea huko bro. Hii kupenda penda hii nayo ina matatizo yake aisee. Kwema lakini?Hongera kwa kucheka ila ndo hivyo kaa ukijua ukinitaraka sitajihusisha Tena na masuala ya kupenda sijui love.
Kwema bro viph kipande hiyo.Hata mimi naelekea huko bro. Hii kupenda penda hii nayo ina matatizo yake aisee. Kwema lakini?
Am fineAm gudi madame
Vipi wewe
JanaMimi?lini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku kwema bro. Mahangaiko tu. Mapenzi haya sometimes yanaleta huzuni na misononeko ya kifikra isiyo ya lazima tu - hasa kama ni kwa yule umpendaye kabisa kabisa kama unavyosema. Au sometimes inatokea unavutiwa na mtu sana kumbe naye ndo hivyo tena. Yaani ni vurugu tupu. Siyo vibaya kurudi nyuma na kujipanga upya. Nakupata sana katika hili !!!Kwema bro viph kipande hiyo.
Yaani haya Mambo unampata mtu ambae unaona ndo degree wengine wote unawaona maharage Tu. Sasa huyo mmoja uliemuelewa akikuzingua yaani unakuwa kama umepata ganzi