Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Moja ya sababu ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kuzorota kwa afya na kusababisha vifo vingi ni msongo wa mawazo .
NAMNA MSONGO WA MAWAZO UNAVOATHIRI MWILI
Pale mwili unavokutana na hali ya tofauti aidha kitu cha kutisha au kinacholeta mawazo ndani ya mda mfupi na tofauti hiyo ikashindwa kutambuliwa haraka na ubongo mfano pale unapokutana na samba au mnyama yeyote mkali usiyemtegemea, basi mwili hutoa kichocheo kinachoitwa cortisol ambacho kinamwagwa kwenye damu ili kuuandaa mwili aidha kupigana au kukikimbia hcho kitu.