Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-29-23-02-51.png
 
Hawa jamaa nawapenda sana. Fuja mali ya umma kujiuzulu unajiuzulu na mali uliyofuja unairudisha otherwise jela inakuhusu.

Hahaa, unajua kwenye cabinet ya Trump, huyu jamaa ndie masikini/siyo millionaire! Sasa wenzake wana jet zao, wanaruka tu wanapojisikia. Sasa naona na yeye akaona isiwe tabu, akaamua kula sambamba na private jets kwa hela za walipakodi! Kimemuwakia! [emoji23][emoji23]
 
Kila mtu apambane na hali yake kwa kweli !!![emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
c950e96fa02a5c85ac46c50d33f6eb2b.jpg

Hiiii[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom