Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hawa jamaa nawapenda sana. Fuja mali ya umma kujiuzulu unajiuzulu na mali uliyofuja unairudisha otherwise jela inakuhusu.
Carba sijui yuko wapi leo....
Kwema lakini yego?
Tuje tutafutane basi bana...
Carba sijui yuko wapi leo....
Kwema lakini yego?
Tuje tutafutane basi bana...
Kila mtu apambane na hali yake kwa kweli !!![emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️