Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi sijamtaja mtu hapo, sitaki ugomvi na mwenye zizi hapo, ooh! [emoji23][emoji23]
Kuna tetesi kuwa mwenye zizi anataka kulimwa talaka. This is your chance to lonchi yua revolusheni ...ende televaizi iti [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 

That will be a win win situation, let him do zati ini pabliki endi ai wili stati tu roll fromu zea! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Ndiyo shida ya kuwapa masikini vyeo vikubwa. Ni lazima wataiba tu. Naamini hili ndilo lilikuwa tatizo mojawapo kubwa la Mwalimu Nyerere na Ujamaa wake. Eti huwezi kuwa kiongozi mpaka uwe masikini. Unampa masikini ukurugenzi wa shirika la umma au uwaziri na unamtegemea eti asiibe. Wakati huo huo jamii inaabudu majizi na ukizubaa ukastaafu hujaiba ukatajirika unachekwa mpaka kaburini. Ndiyo maana alibakia peke na Kawawa wakiwa masikini wakati wenzao wote wakiiba kupindukia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…