carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Fanya delivery hapa[emoji23][emoji23][emoji23]Anyone in need of flowers for the weekend? I got tons in my garden! [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani huwa nashindwa kukataa vitu vizuri sijui kwaniniCarba sijui yuko wapi leo....
Kwema lakini yego?
Tuje tutafutane basi bana...
Hakuna kitu kama hicho,sema haitakuwa kama mara ya kwanzaMimi nafikiri haya Mambo ni kama kumpa Figo mtu mwingine, ikiondoka kurudi tena sio rahisi
Amin[emoji120][emoji120]
Wabongo wanaakili za ajabu[emoji23][emoji23]
Niko powa viph wewe?Hakuna kitu kama hicho,sema haitakuwa kama mara ya kwanza
Mzima lakini
Namshukuru Mungu kwa kuiona siku mpyaNiko powa viph wewe?
Kama haitakuwa kama mara ya kwanza /kwako basi haitokuwa kuwa real itakuwa kusogeza siku Tu
Usiache bhanaNamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya
Haya mambo ni kuyaacha tu kama yalivyo kwakwel
Fanya delivery hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
santee eehView attachment 598810
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Shemejiiiii!
Pole shemeji,jitahidi kuubembeleza hivyo hivyo ulaleShemejiiiii!
1:40 AM.......
Insomnia.........
Ni Wakenya hawa. Organ donation mbona ni jambo la kawaida tu? Kwa Wamarekani huko ukipata driver's license wanakuuliza kama unataka kuwa organ donor ama la. Ukikubali siku ukiRIP kwa ajali au sababu zingine ambazo haziharibu viungo vyako vya ndani basi wanavuna kila kitu kuanzia macho, moyo, figo, ini na kila kitu kinachoweza kisaidia wengine. Ni njia nzuri ya kusaidiana na kuendeleza uhai na kama imani yako inaruhusu sioni tatizo..Wabongo wanaakili za ajabu[emoji23][emoji23]
santee eeh
???????????????????????????????????*Tanzania ya viwanda*
1.Tatu Mzuka
2.Biko
3.PremierBet
4.MeridianBet
5.SportPesa
6.GSB
7.PrincesBet
8.MkekaBet
9.Supa Bets
10.Bet Now
11.Bet Ham
12.Throne Bet
13.M-Bet