Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii misambwanda ya bandia nayo hii mhhh. Wengine wanazidisha aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni matumizi yako tu mkuuHivi kwanini Mshahara unakuja kama Passo unaondoka speed ya Jet?
Sema Hallelujah
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mama mbembeleze huyu mzee alale,ana insomnia ujue
Bila shaka umewaza hatari za kutoboa ulimi namna hiyo. Ukipata infection inaweza kuwa shida kubwa !!!Sijui nimewaza nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili yangu naijua mwenyewe
GG wazee wa mkekaChelsea vs Manchester city
19pm
Utaongea peke yako. Sisi hatujui Kiingereza [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Today I want to speak English Only
Nimeamini nitakua kama chizi apaUtaongea peke yako. Sisi hatujui Kiingereza [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Bob Marley ni mvuta bange mwenye maono. Alitoa ujumbe mzito kwa dunia kupitia muziki wake. Ujumbe wake uliwanyima raha mabeberu na vibaraka wao, waliokuwa wakitumia unyonge wa nchi masikini kuziibia. Huyu ni mpambanaji aliyetumia kipaji chake kuwapigania wanyonge duniani kote na hasahasa waafrikaMvuta bangi huyu baby Bob Marley
Uzi uliopigwa vita unazidi kuchanja mbuga
Duh! Leo na insomnia hii nitalala kweli? Si kwa vijembe hivi wallahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi mkuu, kwema kichwaHabari yako mkuu