Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mvuta bangi huyu baby Bob Marley
Bob Marley ni mvuta bange mwenye maono. Alitoa ujumbe mzito kwa dunia kupitia muziki wake. Ujumbe wake uliwanyima raha mabeberu na vibaraka wao, waliokuwa wakitumia unyonge wa nchi masikini kuziibia. Huyu ni mpambanaji aliyetumia kipaji chake kuwapigania wanyonge duniani kote na hasahasa waafrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…