Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je wewe huwa unachepuka?

Ni mara ngapi ndani ya wiki huwa unajaribu kufanya vitu tofauti na utaratibu (routine) wako ya kila siku? Au kila siku ni kama jana na hakuna utofauti wa maisha? Je wewe ni mtu wa kupenda adventures?

Leo napenda tuzungumzie swala muhimu kabisa ambalo husaidia kujenga msingi wa maisha bora na yenye furaha kwa familia yako. Hili ni swala la kubadilisha ratiba na kufanya vitu tofauti mara moja moja ili kujifunza na kujiliwaza, kama familia kwa pamoja. Mie napenda kutumia neno kuchepuka.
 
Ok pumzika kwa amani kwa ignore list yangu dada weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…