Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Marcus Aurelius - the laughing philosopher !!!Maisha nikama kuendesha baisikeli. Ukitaka kuweka msawazo lazima uendelee kusonga
Kaa katika uzuri wa maisha. Tazama nyota, na ujione ukikimbia nazo. Marcus Aurelius
Unauliza majibu kwenye mtihani usio na maswali mkuu? We ukija huku toa likes na pokea likes basi....Kumbe huu uzi bado upo?