Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Shemeji sikuhizi weekend ni kama weedays kazi kila siku. Ndio naingia toka Dar. Sijaweza kukutana na hata mtu mmoja wa Dar.Sema mkuu. Naona kuko kimyaaaa. Wikiendi naona ishaanza au pengine watu wapo wanapata mlo wa mchana.
Bro, umefikiria nini? This is deep !!!Kwanza viliumbwa vidole binadamu akaumba Uma
COLEWORLDLOVESYOU
Cha muhimu tu uko mzima. Msalimie sister. Mwanaume kuhangaika ati !!!Shemeji sikuhizi weekend ni kama weedays kazi kila siku. Ndio naingia toka Dar. Sijaweza kukutana na hata mtu mmoja wa Dar.