myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
uzi huu utapata elimu
Sema mkuu. Naona kuko kimyaaaa. Wikiendi naona ishaanza au pengine watu wapo wanapata mlo wa mchana.Habari wa ndugu
Fearful. Dangerous !!!
Unataka watu wafanyeje? Kula likes toa likes [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wanachekelea sana nchi inaonyoooshwa saiz nchi inadaiwa 130bilion
Naona tulikutisha sana. Jisikie huru bana. Kwema lakini ndugu yangu?Hatari kubwa. Hakuna aliye tayari kupoteza zizi lake, aidha zizi lake au afe mmendeaji! [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yegoooooooo !!!Yale mazizi yamezindikwa, ni hatari hata kuyasogelea. Kuna mtu humu ananiita Pastor fake, acha tu niwaombee hawa watu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Avamie zizi la nani? Mwoga balaa. Vimbwa vidogo tu vikibweka basi Mkerewe wa watu mkuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hv bado wanakuita andaeitini? Au uliwanyoosha kwa kuvamia mazizi yao?
Hakuna mtu mwenye familia kubwa kama kondakta wa ma-Bus. Utasikia haya 'dada' hapo mbele,'mjomba' kule mwisho, 'ma mdogo' unaenda? Ngoja 'bibi' ashuke, haya 'shemeji' njoo twende. 'Babu' njoo ukae, 'babaangu' hapo tusogee kidogo, 'shangazi' kaa upande mmoja, 'Braza' shika chenji yako 'Aunty' mpakate mtoto.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sijui lugha vizuri mkuu. Nirekebishie na likes za kutosha please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwann usiseme makonda wa mabasi