Hahahha anasema eti mlimpa vitisho vya hatari.Avamie zizi la nani? Mwoga balaa. Vimbwa vidogo tu vikibweka basi Mkerewe wa watu mkuku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui lugha vizuri mkuu. Nirekebishie na likes za kutosha please [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakuu naomba LIKES 10 tu
[emoji38] [emoji38]Hakuna mtu mwenye familia kubwa kama kondakta wa ma-Bus. Utasikia haya 'dada' hapo mbele,'mjomba' kule mwisho, 'ma mdogo' unaenda? Ngoja 'bibi' ashuke, haya 'shemeji' njoo twende. 'Babu' njoo ukae, 'babaangu' hapo tusogee kidogo, 'shangazi' kaa upande mmoja, 'Braza' shika chenji yako 'Aunty' mpakate mtoto.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Losser Bad salama mkuuHeshima kwenu wakuu.
Tafadhali naomba kufahamu, et kichwa kichafu bado yuko humu..!?