Uoga wa kifo hufuatia uoga wa maisha. Mtu anayeishi kikamilifu ako tayari kufa wakati wowote- Mark Twain
Kwa maneno matatu naweza jumlisha kila kitu nimejifunza kuhusu maisha: Na yaendelea- Robert Frost
Maana ya maisha ni kupata kipawa chako. Jukumu la maisha ni kuipeana- Pablo Picasso
Ningetaka kuishi kama mtu maskini nikiwa na pesa nyingi – Pablo Picasso