Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-30-18-55-04.png
 
Hapo kwenye makwapa ya kuku hapo[emoji39][emoji39]nisingekuwa nakosekana
Tena unapiga simu tu wanakuletea mpaka mlangoni. Aina unayotaka. Hawa jamaa wanakula si mchezo. Pengine ndo maana unene wa futufutu (extreme obesity) umegeuka janga la kitaifa. Madukani huko watu wapo kwenye wheelchairs wamenenepeana balaa hata kutembea hawawezi. Ni kuhema tu na kulalamika. Land of the free, home of the brave indeed! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom