carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kweli kabisa mana uzi unajaa ipielo tu[emoji19][emoji19]Mimi safi kabisa. Ni asubuhi njema nzuri tulivu yenye amani na matamanio mapya. Tumshukuru Mungu !!!
Tusiopenda mpira Jumamosi huwaga ni mateso hapa.
Ulilala lakini au ndo usingizi ulikuwa bado wa mgao?