Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa mana uzi unajaa ipielo tu[emoji19][emoji19]
Ulilala lakini au ndo usingizi ulikuwa bado wa mgao?
Nililala. Nimelala masaa matatu. Yanatosha. Ni wikiendi na kuna mvua. Usingizi ukinijia anytime naucharaza tu.....

Ipielo ni shida. Jumamosi huku ni College Football. Hii ya Kimarekani ya kuukwapua mpira na kuutia kwapani halafu unatoka nao nduki. Watu wako passionate sana na timu za vyuo walivyosoma. Ni siku nzuri ya kukaa na marafiki na kutandika bia na chicken wings pamoja na pizza. Kunenepeana !!!
 
e34ff3bf5460f84bb6aab9395f39fa69.jpg
 
Hapo kwenye makwapa ya kuku hapo[emoji39][emoji39]nisingekuwa nakosekana
 
Back
Top Bottom