Halafu unakuta jitu limekazana ooooh hakuna Mungu. What evidence do you need? Hakuna Mungu my foot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nadhani nitaifremu kabisa na kuitia ofisini na sebuleni !!!kuwa na kasoro ni sehemu ya UBINADAMU, kukubali kuwa una kasoro ni UUNGWANA,kujirekebisha kutokana na kasoro ni USHUJAA na kuelimisha watu kwa ulichojirekebisha ni UKARIMU. ubinadamu + uungwana+ushujaa+ukarimu = UADILIFU
The blacker the berry, the sweeter the ....
Ayaaa
Kama mimi vile hu hu hu[emoji1][emoji1][emoji1]