Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu ahsante kwa angalizo lako..!
Nilihisi kuna zaidi ya hicho...! maana ndicho nilichojitahidi kufanya yaan kupost na kulike(nilizingatia hili nahakika)..!
Sema nini Mkuu, niwatakie kila la kheri kwenye huu mchezo.. I am stepping down kushiriki huu uzi tena for good...!
Aisee. Kama ni hivi mkuu mtandaoni huku utateseka sana. Usichukulie kila kitu kuwa ni personal mkuu. Hatujuani huku hata mtu akikukwaza unapotezea na kusonga mbele. Kama kila ukikwazwa unasusa, utasusa mangapi hapa duniani? Mkeo akikukwaza napo utafanyeje? Usiwe too delicate na inferiority complex. Dunia hii ina changamoto za kila aina. Mwanaume huwa hakimbii changamoto bali hukabiliana nazo. You are a man for a reason. Please act like it !!!
 
Duh !!!
0e4d19ba64751a1535d65765fc244c1b.jpg
 
Kukosa usingizi kunaweza kusababisha kifo na mfano mzuri ni mwanamuziki, Michael Jackson ambaye alifariki baada ya kuzidishiwa dawa za usingizi.Ni dhahiri kuwa baada ya shughuli nyingi za mchana kutwa, mwili wako unahitaji kupumzika kwa kulala usingizi.
 
Back
Top Bottom