Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Kama ni hivi mkuu mtandaoni huku utateseka sana. Usichukulie kila kitu kuwa ni personal mkuu. Hatujuani huku hata mtu akikukwaza unapotezea na kusonga mbele. Kama kila ukikwazwa unasusa, utasusa mangapi hapa duniani? Mkeo akikukwaza napo utafanyeje? Usiwe too delicate na inferiority complex. Dunia hii ina changamoto za kila aina. Mwanaume huwa hakimbii changamoto bali hukabiliana nazo. You are a man for a reason. Please act like it !!!
 
Kukosa usingizi kunaweza kusababisha kifo na mfano mzuri ni mwanamuziki, Michael Jackson ambaye alifariki baada ya kuzidishiwa dawa za usingizi.Ni dhahiri kuwa baada ya shughuli nyingi za mchana kutwa, mwili wako unahitaji kupumzika kwa kulala usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…