Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo hili kitaalamu huitwa, ‘Insomnia’. Ni ugonjwa ambao dalili zake ni pamoja na kushindwa kupata usingizi, kuamka mara kwa mara na kushindwa kulala tena kwa kipindi kirefu na kujisikia uchovu unapoamka.
 
Ogani kubwa za mwili kama vile moyo, figo, ini na mapafu hufanya kazi yake vizuri wakati mtu amelala.
Naona nimewahi leo kuweka mambo ya chama chetu cha CHAUMITA. Nilifikiri watu mmeshalala. Sorry [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Mtu akikosa usingizi kwa muda mrefu siyo tu ana hatarisha maisha yake lakini pia anakosa busara, anaweza’ kuropoka’, au kufanya uamuzi mbaya ambao kama angelala vizuri asingeyafanya hivyo,” anasema Dk Marshall.Mtu akikosa usingizi kwa muda mrefu siyo tu ana hatarisha maisha yake lakini pia anakosa busara, anaweza’ kuropoka’, au kufanya uamuzi mbaya ambao kama angelala vizuri asingeyafanya hivyo,” anasema Dk Marshall.
 
Ndo naaga hivyo,muda wowote naenda salimiana na watu wa ndotoni. No sorry be free
 
Anaongeza kuwa usingizi husaidia kurekebisha seli zilizoharibiwa na msongo wa mawazo hasa zile ambazo hujitokeza dhahiri katika ngozi.

“Msongo wa mawazo, mionzi ya jua na kemikali husababisha seli za ngozi kuharibika. Mtu anapolala mwili huzalisha protini nyingi ambazo husaidia kuponya seli zilizoharibika,” anaeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…