mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Amani yetuUzalendo wetu
Amani yetuUzalendo wetu
YapKila jambo na muda wake
Mtu anakuona uko unakula lkn anakuuliza kwamba unakula??Hapana ninatema.
InaishiaWeekend inaendelea
YopToa nawe upate likes
YapView attachment 599003 [HASHTAG]#happinessquotes[/HASHTAG]
Upo super market or mall, unakutana na mtu anakuuliza "Umekuja kufanya nini hapa?"
Kuwinda tembo.
Likes kwa kila postNipe nikupe
Nani tena drIla nyie wakurupukaji mnazingua likes hamtoi ila mnaquote kila mkionacho. Acha shobo za kike
Ndiyo uzuri wetu huo kama binadamu. Kila mmoja wetu ni tofauti na mwenzake. Na katika utofauti huu ndimo kuna upekee na uthamani wetu. Tunakamilishana, tunategemeana - katika uhasi na uchanya wetu. Na kila mmoja wetu ana uzuri wake - hata awe mwovu namna gani (and vice versa). Cha muhimu ni kuvumiliana. Ndiyo maisha. Ndivyo tulivyoumbwa !!!Mie ndio niliyemkera huyo jamaa na sijali anajisikiaje huko alipo,ila aache ukurupukaji kwa yasiyomhusu na vijembe juu. Honesty sinaga unafiki kusema nikae kimya kwa linalonikera humu,mie namwaga nasepa zangu. Na huwa sijali ntaonekanaje baada ya hapo.
Ushauri wako mzuri shimba. Huu ushauri unanipa nguvu ya kukorofisha(joke)wengine zaidi ili uwe unafunguka nondo muhimu kama hizi. Be blessed