myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Yup.Nilijua tu
Unataka nipauke sasa?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]WAZUNGU
Mtoto akitaka kulala mzaz anaanza kumsomea hadith nzur kweny kitabu zenye mafundisho ya watoto mpaka mtoto analala.
WABONGO
Mtoto akitaka kulala anatishwa,utasikia "wewe hebu lala upesi eeh dudu hilo,dudu hilo!,nazima taa nazima. [emoji23]
[emoji22] [emoji22] [emoji22]Tatizo siku hizi wanitesa sana,unajua hadi nilitaka kuweka bandiko humu la kukutafuta[emoji19][emoji19]
Nilikuwa na wasiwasi si unajua sikio lako lilivyokubwa hadi ubuyu hakupitiSikio langu litazidi vipi kichwa chako maana kilivyokirefu sasa[emoji23][emoji23]