Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
And its desire is to control you
Njema kabisa.Kichwaaaa veeepeeeee
Dua la kuku nani atasubiri.roho mbaya hiyo
Utasubiri sana na bado[emoji445][emoji445]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msela
#siwezisahau#niamini#[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Weweee[emoji23][emoji23]Dua la kuku nani atasubiri.
Teh teh tehHalafu siku hizi hamna ubuyu hadi nakonda[emoji23][emoji23][emoji23]
Na hilo lisauti linavyokoroma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njema kabisa.
Hiyo veepee ni veeeepe.
Nilikuwa naimba numbi numbi numbisa natengeneza cover ya If(davido)
Unaushauri mzuri weweTeh teh teh
Tengeneza tukio lako mwenyewe Numbisa apate ubuyu
Duuh!Hizi tafiti nyingine hizi mmh![emoji15][emoji15][emoji15]
UTAFITI: "Kukaa na njaa kunapelekea nywele kukuwa kwa haraka"
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo cha utafiti cha wanasayansi nchini Brazil EurekAlert, kukaa na njaa kunapelekea nywele kurefuka kwa haraka.
Kitengo hicho katika utafiti wake, kimenukuliwa na jarida la Cell Reports kuwa kukaa na njaa kunapelekea nywele kukuwa kwa haraka.
Utafiti huo ulifanywa kwa kutumia kundi la panya waliopewa chakula kichache na kundi la panya waliopewa chakula kwa kiasi cha kawaida kwa mlo wa kila siku.
Utafiti huo ulifanywa kwa muda wa miezi 6.
Katika utafiti huo panya waliopewa chakula kichache walionekana kuwa na mabadiliko katika miili huku manyoya yakiongezeka.