Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Misitu ni uhai
Miti hutoa hewa ya Oksijeni ambayo huvutwa na Binadamu.

Binadamu hutoa hewa ya Carbondioxide ambayo huvutwa na miti.

Miti hutumia Carbondioxide kujitengenezea chakula chake kwa njia ya Photosythesis.

Binadamu hutumia Oksijeni kuvunja vunja chakula na kujipatia nishati kwa kutumia Upumuaji(Respiration).

Ni kweli miti ni uhai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…