Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-30-17-31-41.png
 
2.Kula vyakula hatarishi
Ulaji wa vyakula vya sukari kwa wingi,chumvi na kahawa hupelekea magonjwa kama shinikizo la damu na kusukari pia kuongezeka uzito kupunguza uwezo wa moyo kufanya kazi na kuathiri uwezo wa kufikiri.

Hivyo ili kuepuka mathara yatikonayo na ulaji mbaya wa chakula, unachotakiwa kufanya ni kufuata ratiba ya kula, pia kuachana mara moja kula vyakula hatarishi.
Mara waseme wanywa kahawa huishi miaka mingi, mara kahawa inasisimua ubongo na immune system, mara hivi. Ndiyo maana mi siwasikilizi hawa watu. Nakula karibu kila kitu in moderation na kubadili badili. After all eat well, exercise and die anyway. Aaaaargh !!!
 
Kesho nayo ni siku ukiitumia vizuri waweza badili maisha yako.
Zile changamoto za juzi,jana na leo ukazitumie kesho kama daraja la kufikia malengo yako.
Ukumbuke tu kuwa na mtazamo chanya kwa kila ukifanyacho.
Mungu awatangulie kwa kila jambo.
Mkawe na usiku mwema.
 
Back
Top Bottom