Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Amenifanyia Amani
amekufanyiaje huyo amanAmenifanyia Amani
Halafu mimi mkorofi eeh[emoji1][emoji1][emoji1]Halafu wewe
Uhuru wa kuongea unachotaka uoYour parents are still alive and together ,But when you are asked "Who is your favourite couple?" You answer "Jay Z and Beyonce"......Hmmmm my sister you need a very hot High five on your face....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jini mkata kambaJini mahaba
Yegooooo!Huyu kishafika Kibo peak, amekaribia Uhuru peak! [emoji23][emoji23]
Mmecheki na Uniq?Huyu ndugu yangu toka juzi namtafuta sana
Napenda ukorofi wako. LakiniHalafu mimi mkorofi eeh[emoji1][emoji1][emoji1]
Nyimbo hiyo ya gospel mkuuamekufanyiaje huyo aman
Wanataka kufanya mabinti washinde na njaa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi tafiti nyingine hizi mmh![emoji15][emoji15][emoji15]
UTAFITI: "Kukaa na njaa kunapelekea nywele kukuwa kwa haraka"
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo cha utafiti cha wanasayansi nchini Brazil EurekAlert, kukaa na njaa kunapelekea nywele kurefuka kwa haraka.
Kitengo hicho katika utafiti wake, kimenukuliwa na jarida la Cell Reports kuwa kukaa na njaa kunapelekea nywele kukuwa kwa haraka.
Utafiti huo ulifanywa kwa kutumia kundi la panya waliopewa chakula kichache na kundi la panya waliopewa chakula kwa kiasi cha kawaida kwa mlo wa kila siku.
Utafiti huo ulifanywa kwa muda wa miezi 6.
Katika utafiti huo panya waliopewa chakula kichache walionekana kuwa na mabadiliko katika miili huku manyoya yakiongezeka.