Post chochote, likes, ELIMU, HABARI na BURUDNI. vyote utavipata hapa..MALENGO YA UZI
LIKES
ELIMU
BURUDANI
Umeona hiyo bro, hawaamini. Eti wanamlilia Mkurugenzi kwa kutandikwa kibuti na mfanyakazi wake,...p..u..m..b..a..v..u. KabisaAisee.
Niliwahi kuachwa na gari nilikuwa nimekata tiketi tayari.
Niliamua kuingia gharama nyingine kwa kupanda gari lingine, kwa kweli ni maumivu sana
KORONGO wa UgandaNDEGE ambao kwa hakika anapewa heshima kubwa sana na nchi fulani hapa Afrika Mashariki, si hivyo tu bali pia ni ndege ambae anavutia sana hata tu kwa kumuangalia.Na moja kwa moja tutamjua vizuri “KORONGO-TAJI KIJIVU”
salama mkuu..kwako kwema?Mkuu habari za jioni