myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
likes za jioni
Hautasimama wakati wa jua, mvua, radi, wala wakati wa upepo mkali. Uzi utasonga na kusongeshwa mpaka watu waseme duuuuuuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Uzii bado unasongaaaa tyuuu
Umepatia mkuuWaleku msalamu
Sijui kama nimepatia
Panakodishwa hapo mkuuSafi sana hapa
.Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ipo upande wa Kusini Mashariki mwa Ziwa Manyara. Hifadhi hii yenye ukubwa wa kilomita za mraba 2,850 inaweza kufikika kwa urahisi kutoka Arusha kupitia barababra nzuri kabisa. Mto Tarangire unaotiririsha maji mwaka mzima kuelekea upande wa Kaskazini mwa hifadhi hii ndio umeipa hifadhii hii jina hilo. Kwa sababu ya uwepo wa mto huu katika kipindi chote cha mwaka, umekuwa msaada mkubwa sana kwa maisha ya wanyamapori ndani na nje ya hifadhii hii.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] kazi ni uhaiKazi ni msingi wa maisha ya binadamu