We unataka kunukia harufu ya dawa kila wakati tena dawa( carbamazepine ) yenyewe ya hill liugonjwa
Jamani wanaume muwe makini na hizi tiba za nguvu za kiume...
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60 amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu ya kuongeza nguvu za kiume kwa mganga wa kienyeji mkoani Shinyanga.
Milonge inaua?Jamani wanaume muwe makini na hizi tiba za nguvu za kiume...
Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60 amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu ya kuongeza nguvu za kiume kwa mganga wa kienyeji mkoani Shinyanga.