Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ATHARI ZA KUTUMIA CHUMVI NYINGI KATIKA CHAKULA.

Mara nyingi tumekuwa tukishauriwa kupunguza kiasi cha chumvi kwenye chakula si tu kwa wagonjwa wa kisukari, figo, moyo, ini na presha bali hata kwa mtu mwenye afya nzuri anatakiwa kupunguza kiasi cha chumvi kwa huweza kusababisha matatizo yafuatayo:-
 
Magonjwa ya figo, utumiaji wa chumvi kupita kiasi uongeza kiasi cha sodiamu mwilini ambayo huzuia figo kutoa maji ya ziada mwilini na kuongeza presha ya damu ambayo huaribu figo na utendaji wake wa kazi na kushundwa kuchuja damu na kutoa sumu mwilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…