mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
20: 36
Ujue shilawadu wameshaanza kutega sikio!!? Huoni kama hakutakuwa na siri tena?Njema sana.
We nipatie tu ikibidi hata unikabidhi hapahapa ili na shilawadu waone[emoji12] [emoji12]
"Kwenye mwanga huu wa jua la mchana kuna walio gizani"Siyo kweli. Mwanga upo kila mahali. Ondoka gizani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poa sana Mkuu... Nimekuja kutoa likes kwa pupaMkuu niaje
Habari poa kabisa mkuuWakuu kona hii habari zenu..??