Hahah ili waumie kbsUjue shilawadi wameshaanza kutega sikio!!? Huoni kama hakutakuwa na siri tena?
Mimi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nani bado yuko macho humu tugonge likes?
Nao wako kaziniWACHAWI NAO HAWAKO NYUMA...NI KUWANGA TU...
Inarahisisha kusafisha uumeFAIDA ZA MWANAUME KUTAHIRIWA
Kutahiriwa ni kitendo cha kuondoa govi au ngozi ya mbele juu inayofunika kichwa cha uume. Hili ni jambo lililokuwa linafanyika kale kwa imani za mira na dini lakini siku hizi hutumika kiafya kwa ajili ya kumkinga mwanaume na magonjwa na maambukizi mbali mbali.
Nao wako kaziniWACHAWI NAO HAWAKO NYUMA...NI KUWANGA TU...