Ana diabetes na alikuwa hajui. Kidogo afe. Hajakonda kwa matakwa yake. Hali ilikuwa tete !!!Anthony Anderson.
Amejitahidi sana kupunguza Uzito/Mwili.
Siku hizi sio Bwanyenye kama ilivyokuwa zamani.
Huwa siichoki ile Filamu ya kuitwa ROMEO MUST DIE.
Kwa kweli Anthony Anderson huwa ananivunja mbavu kila ninapomuona kwenye Filamu hii
Huko kwao Ulaya labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasi tumo![]()
Huko kwao Ulaya labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]