Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anthony Anderson.

Amejitahidi sana kupunguza Uzito/Mwili.

Siku hizi sio Bwanyenye kama ilivyokuwa zamani.

Huwa siichoki ile Filamu ya kuitwa ROMEO MUST DIE.

Kwa kweli Anthony Anderson huwa ananivunja mbavu kila ninapomuona kwenye Filamu hii
Ana diabetes na alikuwa hajui. Kidogo afe. Hajakonda kwa matakwa yake. Hali ilikuwa tete !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…