Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lilikuwa jambo la kushangaza pale Pique alipowasili kwenye timu ya taifa ya Hispania Jumatatu, alitukanwa na kuzomewa.
Baadhi ya mashabiki 1,000 ambao walihudhuria kushuhudia mazoezi ya wazi waliimba. "Piqué, cabrón, fuera de la selección (Pique, ni m**ndu, atoke kwenye timu ya taifa)."
Yalikuwa majibu ya kiburi na mabaya kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Hispania ambao wamelichukulia swala la beki huyo wa kati kuiunga mkono na kuwa na ushirika na Katalunya kama ukosefu wa uzalendo.