Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 529957
TID MNYAMA ATANGAZA KUMUWEKA JELA QUICK ROCKA. .NI BAADA YA KUIBIWA WIMBO WA "WATASEMA SANA" . kupitia ukurasa wake wa Instagram Tid ametoa mapovuuu Kwa kuyaandika Haya. BY @tidmusic - Wat is this....?! Hivi ndio mnapata Magari yenu!? @quickrocka & @omgtanzania we need to TALK [HASHTAG]#Watasema[/HASHTAG] Naomba tukutane Central Police huwezi kutumia Haki zangu hivihivi Kabla sijafanya kitu kibaya nahitaji million 20 compensation... This song ni Awards mbili Za Kisima Music Awards 2005 inKenya u can't just Steal it, Unalala Ndani Leo . . . JE UNAZUNGUMZIAJE MAAMUZI HAYA YA TID?? NI SAWA AU ASAMEHE???
Gossip numbisa

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
KIBITI KARIBU
e54a3863512703a1cb64516ed06a0ff5.jpg
Mkuu huko hakufai
 
Karibu kiongozi....Halafu pande za kwenu nishanusa fursa huko...tutafutane ndugu tuweze ku share uzoefu.Jina lako linasadifu ulivyo aggressive kiuchumi i presume...
Nitakutafuta kamanda. Wewe lakini utakuwa uko juu sana. Unatembelewa na Danish chicks mkuu si utakuwa mzee wa viyoyozi 24/7? Unashuka kwenye Range tinted unaingia kwenye bungalow self contained full kiyoyozi. Ukijishusha na kushea uzoefu na mtu wa kijijini kama mimi itapendeza mno.
 
Back
Top Bottom