myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
poleni wa nyumbani
wapooo..wape likes zaoNumbisa
Mzee wa liver
Jembekilo
BAK
Kichwa kichafu
carbamazepine
Cole Williams
wazee wa promotion za Likes mupoo...
Jirani, rafiki habari yako[emoji3] [emoji3]Pole
Salama...Salaam MBEYA, Jambo wana TUKUYU
watazipitia hapa, nimezijaza nyingi tu....na ww nimeshakupa zako!wapooo..wape likes zao
Hebu namie mnipe hizo likes basi kabla sijarusha mabomu ya machozi humu
asante,,watazipitia hapa, nimezijaza nyingi tu....na ww nimeshakupa zako!
Salaam wagonga likes wa VWAWA, Mbozi misheni, mpemba, mponera, mto momba na vitongoji vyake salaam. Gonga likes kiroho safimkuu mimi nipo VWAWA hapa. Salam sana kwako
😛🙂Kweli kabisa. Tangu page ya kwanza hadi hii niliyopo nimeoga like za kutosha
Ndo nshakaribia na kigoda nimekalia kabisa
Mwenye Enzi Mungu ibariki nchi yangu Tanzania na watu watu wake milele yote